Orodha ya viongozi wakongwe sana ulimwenguni ambao bado wananinginia uongozini

0
148

Baada ya kifo cha Rais wa Tunisia Beji Caid Essebsi aliyekuwa na umri wa miaka 92, kilichotokea Alhamisi, Julai 25, sasa kunabakia viongozi watatu ambao wanaongoza ingawa umri wao ni mkubwa mno – Zaidi ya miaka themanini.
Nchini Cameroon, Rais Paul Biya, 86, amekuwa madarakani tangu 1982. Kwa jina la utani “Sphinx”, alichaguliwa tena 2018 kwa mara ya saba katika muhula unaochukua miaka saba.source: Tuko Kenya

Leave Us A Comment

comments